DKT. SAMIA AOMBA KURA ZA USHINDI MVUMI MKOANI DODOMA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, September 7, 2025

DKT. SAMIA AOMBA KURA ZA USHINDI MVUMI MKOANI DODOMA



Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi, Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasalimia wananchi wa Mlowa katika Jimbo la Mvumi, mkoani Dodoma, wakati wa muendelezo wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025. Dkt. Samia ametokea Mkoani Iringa alipokuwa na mkutano wa Kampeni kwenye uwanja wa Samora Mjini Iringa leo Jumapili Septemba 07, 2025.




No comments:

Post a Comment