
Umati wa wananchi wa Mji wa Tunduru Mkoani Ruvuma wakiwa wamejitokeza kwa Wingi leo Jumatatu Septemba 22, 2025 kwenye Viwanja vya CCM Tunduru- Nanjoka, kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan anayefanya Mkutano mkubwa wa Kampeni za uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kwenye eneo hilo ili kunadi Ilani ya CCM ya mwaka 2025/30 pamoja na kueleza utekelezaji wa ahadi za Ilani ya mwaka 2020/25.










No comments:
Post a Comment