Maelfu ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na wananchi wa Wilaya ya Same Mkoani Kilimanjaro wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan anayefanya Mkutano wake wa Kwanza wa kampeni Mkoani humo kwenye Viwanja vya Stendi ya Mabasi Same leo Jumanne Septemba 30, 2025.
Tuesday, September 30, 2025
New
DKT. SAMIA APOKELEWA KWA KISHINDO MKOANI KILIMANJARO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)




No comments:
Post a Comment