
Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM akizungumza na wananchi wa Kibaha Mkoani Pwani kwenye Mkutano wa Kampeni za Chama Cha Mapinduzi kwenye Viwanja vya Sabasaba kwa Mbonde, Kibaha Mjini Mkoani Pwani leo Jumapili Septemba 28, 2025.




No comments:
Post a Comment