Dkt. Samia Suluhu Hassan, Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM akiwasili kwenye Mkutano wa Kampeni kwenye Viwanja vya Sabasaba kwa Mbonde, Kibaha Mjini Mkoani Pwani leo Jumapili Septemba 28, 2025.
Sunday, September 28, 2025
New
DKT. SAMIA ALIVYOWASILI VIWANJA VYA SABASABA KIBAHA MJINI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment