
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akicheza muziki na viongozi mbalimbali wa Chama pamoja na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa ambaye pia ni Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Kassim Majaliwa katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi kwa CCM uliofanyika katika uwanja wa Ilulu mkoani Lindi Alhamisi tarehe 25 Septemba, 2025.



No comments:
Post a Comment