
Matukio mbalimbali katika mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi za Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan, Msata mkoani Pwani leo Jumapili tarehe 28 Septemba, 2025.



No comments:
Post a Comment