
Umati wa wananchi wa Ndanda Mkoani Mtwara wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa Nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye amehitimisha Mikutano yake ya Kampeni Mkoani Mtwara kwa kuzungumza na kuwaomba kura wananchi wa Ndanda katika viwanja vya sheli ya zamani leo Jumatano Septemba 24, 2025.








No comments:
Post a Comment