Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na maelfu ya wananchi wa Namtumbo Mkoani Ruvuma leo Jumatatu Septemba 22, 2025. Dkt. Samia anatumia Mikutano hiyo kwaajili ya kunadi sera na Ilani za CCM kuelekea mwaka 2030 pamoja na kueleza mafanikio yaliyopatikana kweye serikali ya awamu ya sita katika utekelezaji wa Ilani ya CCM ya Mwaka 2025/30.
Monday, September 22, 2025
New
MAELFU YA WAPIGA KURA WA NAMTUMBO WAHUDHURIA MKUTANO WA KAMPENI ZA DKT. SAMIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment