Mamia ya wananchi wa Korogwe Mkoani Tanga wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyesimama na kuomba kura kwa wananchi wa eneo hilo leo Jumanne Septemba 30, 2025 akiwa njiani kuelekea Mkoani Kilimanjaro kwenye Wilaya za Same na Mwanga kuendelea na Kampeni zake za uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.
Tuesday, September 30, 2025
New
MAMIA WAJITOKEZA KOROGWE KUMLAKI DKT. SAMIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)










No comments:
Post a Comment