
MGOMBEA mwenza wa Kiti cha Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi akiagana na Viongozi wa Chama na Serikali katika Uwanja wa Ndege mjini Bukoba,mara baada ya kumaliza mikutano yake ya Kampeni ndani ya mkoa wa Kagera leo Jumatatu Septemba 8,2025.
Dk.Nchimbi anaelekea mkoani Rukwa kuendelea na mikutano yake ya kampeni ya kutafuta kura za kishindo kwa Chama Cha Mapinduzi ( CCM) kuelekea Uchaguzi Mkuu unaotarajia kufanyika Oktoba 29,2025.



No comments:
Post a Comment