Picha za matukio mbalimbali zikionesha shamra shamra za Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Alhamisi Septemba 18, 2025, Nungwi, Kaskazini Unguja Visiwani Zanzibar. Leo ni siku ya pili ya Mgombea Urais huyo kuomba kura kwa wananchi wa Zanzibar, akieleza kufurahishwa na umati mkubwa wa wananchi wanaojitokeza kuhudhuria mikutano ya Kampeni za Chama hicho tawala nchini Tanzania.
Thursday, September 18, 2025
New
TUNAFURAHISHWA NA WINGI WENU KWENYE MIKUTANO YA KAMPENI- DKT. SAMIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)















No comments:
Post a Comment