ZANZIBAR KAMA BARA, MAELFU WAJITOKEZA KUMLAKI DKT. SAMIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, September 20, 2025

ZANZIBAR KAMA BARA, MAELFU WAJITOKEZA KUMLAKI DKT. SAMIA

Shamra shamra za maelfu ya wananchi na wapigakura wa Wilaya ya Chake Chake Pemba pamoja na vitongoji jirani wakiwa kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Viwanja vya Gombani ya Kale, Mkoa wa Kusini Pemba, Zanzibar leo Jumamosi Septemba 20, 2025. Dkt. Samia aliyetokea Unguja, anatarajiwa kunadi sera na Ilani za Chama Cha Mapinduzi, Kuomba kura pamoja na kuwanadi wagombea Uwakilishi na Ubunge kutoka Visiwani humo.



No comments:

Post a Comment