Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) akiagana na Makundi mbalimbali ya wanahabari, wapiga picha, wananchi na Vikundi vya hamasa wakati wa kuhitimisha Mikutano ya hadhara ya Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025 zilizofanyika Viwanja vya CCM Kirumba Jijini Mwanza leo Jumanne Oktoba 28, 2025.
Tuesday, October 28, 2025
New
DKT. SAMIA AAGANA NA WANAHABARI NA VIKUNDI VYA HAMASA CCM KIRUMBA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






No comments:
Post a Comment