DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI YA UCHAGUZI KWA JOSHUA NASSARI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, October 1, 2025

DKT. SAMIA AKABIDHI ILANI YA UCHAGUZI KWA JOSHUA NASSARI



Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akikabidhi Ilani ya Uchaguzi Mkuu ya Chama Cha Mapinduzi ya mwaka 2025/30 kwa Mgombea Ubunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki Joshua Nassari leo Oktoba Mosi, 2025 kwenye Mkutano wa Kampeni za Uchaguzi, Kwenye Viwanja vya Kituo cha mabasi Usa River, Wilaya ya Arumeru Mkoani Arusha.

No comments:

Post a Comment