
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwapungia Mkono Umati wa Wananchi wa Jiji la Arusha waliofurika pembezoni mwa barabarani kumlaki alipokuwa akiingia Jiji la Arusha leo October 01,2025 mara baada ya kuhitimisha Mkutano wake kwenye Wilaya ya Meru Mkoani humo







No comments:
Post a Comment