
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili katika Viwanja vya michezo vya CCM Kirumba leo Jumanne Oktoba 28, 2025 kwaajili ya kufunga zoezi la Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025, kampeni zilizodumu kwa siku 60 akifanya ziara kwenye Wilaya na Mikoa mbalimbali kuomba kura kwa wananchi.









No comments:
Post a Comment