
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwasili kwenye Viwanja vya Tanesco Buza, Wilayani Temeke Mkoani Dar Es Salaam kwaajili ya Mkutano wa hadhara wa Kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.





No comments:
Post a Comment