
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wananchi waliojitokeza nje ya Uwanja wa Ndege wa Bukoba Mkoani Kagera alipowasili Mkoani humo leo Jumatano Oktoba 15, 2025 kuendelea na kampeni zake za Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.aa







No comments:
Post a Comment