DKT. SAMIA AWASILI MWANZA KUFUNGA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, October 27, 2025

DKT. SAMIA AWASILI MWANZA KUFUNGA KAMPENI ZA UCHAGUZI MKUU


Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na wananchi waliofika kumpokea katika uwanja wa Ndege wa Mwanza leo Oktoba, 27, 2025 kwaajili ya kufunga Kampeni za Uchaguzi Mkuu za Chama Cha Mapinduzi tarehe 28 Oktoba, 2025 mkoani Mwanza kwenye Viwanja vya CCM Kirumba, tayari kwa uchaguzi Mkuu wa Jumatano Oktoba 29, 2025.









No comments:

Post a Comment