Maelfu ya wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM kutoka Wilaya za Sengerema na Buchosa Mkoani Mwanza wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumlaki na kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan, leo Jumanne Oktoba 07, 2025 kwenye Viwanja vya Tabasamu, Sengerema.
Tuesday, October 7, 2025
New
KISHINDO CHA DKT. SAMIA SENGEREMA MKOANI MWANZA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment