
Maelfu ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM na wananchi wa Moshi Mjini wakiwa wamejitokeza kwa wingi kwenye Viwanja vya Mashujaa kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumatano Oktoba 01, 2025.



















No comments:
Post a Comment