WANANCHI MOSHI MJINI WAFURIKA UWANJA WA MASHUJAA, KAMPENI ZA DKT. SAMIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, October 1, 2025

WANANCHI MOSHI MJINI WAFURIKA UWANJA WA MASHUJAA, KAMPENI ZA DKT. SAMIA


Maelfu ya wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM, Wapigakura na Wananchi wa Moshi Mjini Mkoani Kilimanjaro waliojitokeza kwa wingi leo Jumatano Oktoba Mosi, 2025 kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Viwanja vya Mashujaa.






No comments:

Post a Comment