
Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye Mkutano wake wa Kampeni za kuelekea kwenye Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 kwenye Viwanja vya Mashujaa Mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro leo Jumatano Oktoba Mosi, 2025.




No comments:
Post a Comment