MAELFU YA WANANCHI WASHIRIKI UFUNGAJI WA KAMPENI ZA DKT. SAMIA ZANZIBAR - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, October 24, 2025

MAELFU YA WANANCHI WASHIRIKI UFUNGAJI WA KAMPENI ZA DKT. SAMIA ZANZIBAR


Maelfu ya wananchi na Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Unguja Visiwani Zanzibar wakiwa wameujaza uwanja wa Mnazi Mmoja Visiwani humo leo Ijumaa Oktoba 24, 2025 wakati wa hitimisho la Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi CCM (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan, kuelekea uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025.

No comments:

Post a Comment