NMB Yapata Tuzo kuwa Benki ya Kwanza Kuja na Kadi ya Wajasiriamali. - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, October 21, 2025

NMB Yapata Tuzo kuwa Benki ya Kwanza Kuja na Kadi ya Wajasiriamali.


Benki ya NMB imepokea tuzo maalum ya kuwa benki ya kwanza katika Afrika Mashariki kutoa kadi maalum iliyobuniwa kwaajili ya wajasiriamali wadogo na wa kati (SMEs).

Tuzo hiyo ilikabidhiwa jijini Dubai kwa Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara wa NMB, Bw. Filbert Mponzi, na Makamu wa Rais, Malipo ya Mastercard, Bi. Prakrithi Singh, katika hafla ya kitaifa.

Hafla hiyo ya utoaji tuzo ilihudhuriwa pia na viongozi wengine wa NMB, ikiwemo Mkuu wa Idara ya Biashara, Bw. Alex Mgeni, na Meneja Mwandamizi kutoka Idara ya Kadi, Bw. Manfred Kayala.

No comments:

Post a Comment