
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Ijumaa Oktoba 24, 2025 amekutana na kuzungumza na Mjumbe Maalum wa Rais wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) Mhe. Felix Antoine Tshisekedi ambaye pia ni Waziri wa Ushirikiano wa Kikanda wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo Mhe. Floribert Anzuluni, Ikulu ya Magogoni Jijini Dar es Salaam. Waziri Anzuluni alimkabidhi Dkt. Samia Ujumbe maalumu wa Rais Tshisekedi.




No comments:
Post a Comment