
Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan akipiga picha ya “Selfie” na Umati wa Wananchi wa Wilaya ya Maswa Mkoani Simiyu kwenye Mkutano wa Kampeni Za uchaguzi Mkuu leo Jumamosi Oktoba 11, 2025.













No comments:
Post a Comment