
Shamra shamra za maelfu ya wananchi wa Wanachama wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakiwa tayari wamejitokeza kwa wingi kwenye Viwanja vya CCM Kirumba Jijini Mwanza leo Jumanne Oktoba 28, 2025 kwaajili ya kumlaki na kuhudhuria zoezi la ufungaji wa Kampeni za Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan, tayari kwa zoezi la upigaji kura hapo kesho Jumatano Oktoba 29, 2025.














No comments:
Post a Comment