"TUNACHUKUA PICHA ZA KUMBUKUMBU KUELEKEA OKTOBA 29" - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, October 21, 2025

"TUNACHUKUA PICHA ZA KUMBUKUMBU KUELEKEA OKTOBA 29"


Matukio mbalimbali kwenye mkutano wa hadhara wa Kampeni za Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan unaofanyika katika viwanja vya Leaders Club Wilaya ya Kinondoni Mkoani Dar es Salaam leo Jumanne Oktoba 21, 2025.

No comments:

Post a Comment