Maelfu ya wananchi na wanachama wa Chama Cha Mapinduzi CCM wakiwa wamejitokeza kwa wingi leo Jumatano Oktoba 08, 2025 kwenye Viwanja vya Nyamagana Jijini Mwanza kwenye Mkutano wa Kampeni za Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan ambaye leo ameingia siku yake ya pili ya Kampeni Mkoani humo, akiinadi ilani ya Chama chake ya 2025/30 pamoja na kueleza mafanikio makubwa yaliyopatikana katika kipindi cha miaka minne ya serikali yake ya awamu ya sita.
Wednesday, October 8, 2025
New
UMATI WA WANANCHI WAFURIKA JIJINI MWANZA, KAMPENI ZA DKT. SAMIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment