
Shamra shamra za mapokezi ya Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia tiketi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan mara baada ya kuwasili katika uwanja wa Nyamagana mkoani Mwanza leo Jumatano Oktoba 08, 2025.








No comments:
Post a Comment