VIWANJA VYA KIZITWE SUMBAWANGA VYAFURIKA KAMPENI ZA DKT. SAMIA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, October 19, 2025

VIWANJA VYA KIZITWE SUMBAWANGA VYAFURIKA KAMPENI ZA DKT. SAMIA


Maelfu ya wananchi wa Sumbawanga Mjini Mkoani Rukwa leo Jumapili Oktoba 19, 2025 wakiwa wamejitokeza kwa wingi kumsikiliza Mgombea wa nafasi ya Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye Viwanja vya Kizitwe Sumbawanga Mjini. Dkt. Samia anahitimisha leo ziara yake ya siku mbili ya Kampeni za uchaguzi Mkuu wa Oktoba 29, 2025 Mkoani humo.

No comments:

Post a Comment