
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiongoza Kikao Kazi cha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu wa Wizara na Naibu Makatibu Wakuu, Kikao kilichofanyika Ikulu ya Chamwino Mkoani Dodoma leo Jumatano Novemba 09, 2025.





No comments:
Post a Comment