WABUNGE WATEULE WAANZA KUJISAJILI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Saturday, November 8, 2025

WABUNGE WATEULE WAANZA KUJISAJILI

 

Waheshimiwa Wabunge Wateule wakishiriki zoezi la kujisajili lililoanza leo tarehe 8 Novemba, 2025 katika viwanja vya Bunge Jijini Dodoma, kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kwanza wa Bunge la Kumi na Tatu unaotarajiwa kufanyika tarehe 11 Novemba, 2025.













No comments:

Post a Comment