
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini,
Mhe.Subira Mgalu akizungumza wakati Wizara ya Nishati ilipowasilisha taarifa kuhusu Sera, Sheria, Muundo na Majukumu ya Wizara ya Nishati katika kikao cha kwanza kati ya Kamati hiyo na viongozi wa Wizara ya Nishati pamoja na Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara.

No comments:
Post a Comment