MKENDA AWASILI BUNGENI KUWASILISHA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU 2026/2027 - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, May 7, 2026

MKENDA AWASILI BUNGENI KUWASILISHA BAJETI YA WIZARA YA ELIMU 2026/2027


Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Adolf Mkenda amewasili bungeni jijini Dodoma ambapo leo, Mei 7, 2026, anatarajiwa kuwasilisha makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa mwaka wa fedha 2026/2027

No comments:

Post a Comment