Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama, Stephen Magalla, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa watoa huduma za afya yaliyoandaliwa kupitia Mradi wa Paza Sauti+, kwa lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Mji wa Kahama, mkoani Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Afisa Sheria kutoka Ofisi ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Mohamed Mdemu, akizungumza wakati wa mafunzo kwa watoa huduma za afya yaliyoandaliwa kupitia Mradi wa Paza Sauti+, yenye lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Mji wa Kahama, mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (OC-CID) Kahama, SP Maro Kenyunko, akizungumza wakati wa mafunzo kwa watoa huduma za afya yaliyoandaliwa kupitia Mradi wa Paza Sauti+, yenye lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Mji wa Kahama, mkoani Shinyanga.
**
Na Mwandishi Wetu, Kahama
Kampuni ya bima ya Sanlam Allianz imefadhili Mradi wa Paza Sauti+, unaotekelezwa na Shirika la Tanzania Health Promotion Support (THPS) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), ukiwa na lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Mji wa Kahama, mkoani Shinyanga.
Kama sehemu ya utekelezaji wa mradi huu, THPS kwa kushirikiana na GCLA wameanza kuendesha mafunzo yanayolenga kuiwezesha jamii kuzungumza wazi dhidi ya ukatili huku yakijenga uwezo wa watoa huduma za afya katika ukusanyaji na matumizi sahihi ya ushahidi wa kiforensiki.
Mafunzo kwa watoa huduma za afya yanafanyika kuanzia tarehe 5 hadi 7 Mei 2026, yakifuatiwa na mafunzo maalum kwa Wahudumu wa Afya ya Jamii (CHWs) tarehe 8 Mei 2026. Lengo ni kuimarisha mifumo ya utambuzi wa mapema, utoaji wa taarifa kuhusu matukio ya ukatili, ukusanyaji wa ushahidi na utoaji wa huduma bora kwa manusura.
Mradi wa Paza Sauti+ ni mpango unaolenga kuhamasisha jamii kuzungumza wazi dhidi ya vitendo vya ukatili, huku ukiimarisha uwezo wa taasisi na watoa huduma katika kushughulikia kesi hizo kwa ufanisi.
Akizindua mafunzo hayo Mei 5,2026 , Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama, Stephen Magalla, alisema ushirikiano kati ya THPS na GCLA, ukiungwa mkono na ufadhili wa Sanlam Allianz kupitia Mradi wa Paza Sauti+, ni mfano bora wa namna sekta za umma na binafsi zinavyoweza kushirikiana kukabiliana na changamoto za kijamii.
Stephen Magalla
“Ushirikiano huu unaakisi mwitikio shirikishi unaohitajika katika kupambana na ukatili wa kijinsia na dhidi ya watoto. Kuimarisha mifumo ya kiforensiki na uwezo wa watoa huduma kutaboresha huduma kwa manusura na kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati,” alisema Magalla.
Kwa upande wake, Mtendaji Mkuu wa Sanlam Allianz Life Insurance Tanzania, Julius Magabe, kupitia taarifa yake kwa vyombo vya Habari, alisema kampuni hiyo imeamua kufadhili Mradi wa Paza Sauti+ kama sehemu ya mchango wake kwa jamii katika kupambana na ukatili.

Julius Magabe
“Tunajivunia kuwa sehemu ya mradi huu muhimu. Kama taasisi inayolinda maisha kupitia huduma za bima, tunaona ni wajibu wetu kuunga mkono juhudi zinazolinda ustawi wa jamii. Huu ni mchango wetu katika kupambana na ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto,” alisema Magabe.
Aidha, Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (OC-CID) Kahama, SP Maro Kenyunko, pamoja na Afisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa hiyo, Abrahamani Kibakaya, walipongeza utekelezaji wa mradi huo wakisema unakuja wakati muafaka na utasaidia kuziba mapengo yaliyokuwepo katika ushughulikiaji wa kesi za ukatili wa kijinsia na dhidi ya watoto.
Washiriki wa mafunzo wanatoka katika sekta za afya, polisi, ustawi wa jamii na ngazi ya jamii, hatua inayolenga kuimarisha uratibu katika mnyororo mzima wa kushughulikia masuala ya ukatili, kuanzia utambuzi wa mapema hadi usimamizi wa kesi.

Wadau wamebainisha kuwa changamoto katika ukusanyaji na matumizi ya ushahidi wa kiforensiki zimekuwa zikikwamisha mafanikio ya kesi nyingi za ukatili. Kupitia Mradi wa Paza Sauti+, uwezo wa kitaalamu unaimarishwa huku jamii ikihamasishwa kutoa taarifa mapema.
Mradi wa Paza Sauti+ unalenga kuimarisha uwezo wa kiforensiki kwa uchunguzi unaotegemea ushahidi, kuhamasisha utoaji wa taarifa kuhusu matukio ya ukatili kwa wakati na kwa usahihi, kuongeza uelewa wa umuhimu wa ushahidi wa vinasaba (DNA) katika upatikanaji wa haki, na kuimarisha uratibu kati ya sekta ya afya, polisi na ustawi wa jamii.
Mradi huu unatekelezwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama na Kituo cha Afya Nyasubi, ukihusisha kata za Nyasubi na Malunga, ukiendana na Mpango wa Kitaifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto.
Ufadhili wa Sanlam Allianz kwa Mradi wa Paza Sauti+, unaotekelezwa na THPS kwa kushirikiana na GCLA, unatajwa kuwa hatua muhimu katika kuimarisha mifumo ya haki na huduma kwa manusura, na kuleta matumaini mapya katika mapambano dhidi ya ukatili katika jamii.
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama, Stephen Magalla, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa watoa huduma za afya yaliyoandaliwa kupitia Mradi wa Paza Sauti+, kwa lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Mji wa Kahama, mkoani Shinyanga.

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Kahama, Dkt. Baraka Msumi, akizungumza wakati wa mafunzo kwa watoa huduma za afya yaliyoandaliwa kupitia Mradi wa Paza Sauti+, yenye lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Mji wa Kahama, mkoani Shinyanga.

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Kahama, Dkt. Baraka Msumi, akizungumza wakati wa mafunzo kwa watoa huduma za afya yaliyoandaliwa kupitia Mradi wa Paza Sauti+, yenye lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Mji wa Kahama, mkoani Shinyanga.

Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (OC-CID) Kahama, SP Maro Kenyunko, akizungumza wakati wa mafunzo kwa watoa huduma za afya yaliyoandaliwa kupitia Mradi wa Paza Sauti+, yenye lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Mji wa Kahama, mkoani Shinyanga.

Afisa Sheria kutoka Ofisi ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Mohamed Mdemu, akizungumza wakati wa mafunzo kwa watoa huduma za afya yaliyoandaliwa kupitia Mradi wa Paza Sauti+, yenye lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Mji wa Kahama, mkoani Shinyanga.

Afisa Sheria kutoka Ofisi ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Mohamed Mdemu, akizungumza wakati wa mafunzo kwa watoa huduma za afya yaliyoandaliwa kupitia Mradi wa Paza Sauti+, yenye lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Mji wa Kahama, mkoani Shinyanga.

Mratibu wa Mradi wa Paza Sauti+ kutoka Shirika la Tanzania Health Promotion Support (THPS), Agnes Kirato, akielezea malengo na utekelezaji wa mradi huo unaolenga kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Mji wa Kahama, mkoani Shinyanga.

Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama, Stephen Magalla, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa watoa huduma za afya yaliyoandaliwa kupitia Mradi wa Paza Sauti+, kwa lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, mkoani Shinyanga. Picha na Kadama Malunde - Malunde 1 blog

Afisa Sheria kutoka Ofisi ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Mohamed Mdemu, akizungumza wakati wa mafunzo kwa watoa huduma za afya yaliyoandaliwa kupitia Mradi wa Paza Sauti+, yenye lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, mkoani Shinyanga.
Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (OC-CID) Kahama, SP Maro Kenyunko, akizungumza wakati wa mafunzo kwa watoa huduma za afya yaliyoandaliwa kupitia Mradi wa Paza Sauti+, yenye lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, mkoani Shinyanga.
**
Na Mwandishi Wetu, Kahama
Kampuni ya bima ya Sanlam Allianz imefadhili Mradi wa Paza Sauti+, unaotekelezwa na Shirika la Tanzania Health Promotion Support (THPS) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), ukiwa na lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, mkoani Shinyanga.
Kama sehemu ya utekelezaji wa mradi huu, THPS kwa kushirikiana na GCLA wameanza kuendesha mafunzo yanayolenga kuiwezesha jamii kuzungumza wazi dhidi ya ukatili huku yakijenga uwezo wa watoa huduma za afya katika ukusanyaji na matumizi sahihi ya ushahidi wa kiforensiki.
Mafunzo kwa watoa huduma za afya yanafanyika kuanzia tarehe 5 hadi 7 Mei 2026, yakifuatiwa na mafunzo maalum kwa Wahudumu wa Afya ya Jamii (CHWs) tarehe 8 Mei 2026. Lengo ni kuimarisha mifumo ya utambuzi wa mapema, utoaji wa taarifa kuhusu matukio ya ukatili, ukusanyaji wa ushahidi na utoaji wa huduma bora kwa manusura.
Mradi wa Paza Sauti+ ni mpango unaolenga kuhamasisha jamii kuzungumza wazi dhidi ya vitendo vya ukatili, huku ukiimarisha uwezo wa taasisi na watoa huduma katika kushughulikia kesi hizo kwa ufanisi.
Akizindua mafunzo hayo Mei 5,2026 , Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama, Stephen Magalla, alisema ushirikiano kati ya THPS na GCLA, ukiungwa mkono na ufadhili wa Sanlam Allianz kupitia Mradi wa Paza Sauti+, ni mfano bora wa namna sekta za umma na binafsi zinavyoweza kushirikiana kukabiliana na changamoto za kijamii.
Stephen Magalla
“Ushirikiano huu unaakisi mwitikio shirikishi unaohitajika katika kupambana na ukatili wa kijinsia na dhidi ya watoto. Kuimarisha mifumo ya kiforensiki na uwezo wa watoa huduma kutaboresha huduma kwa manusura na kuhakikisha haki inapatikana kwa wakati,” alisema Magalla.
Kwa upande wake, Mtendaji Mkuu wa Sanlam Allianz Life Insurance Tanzania, Julius Magabe, kupitia taarifa yake kwa vyombo vya Habari, alisema kampuni hiyo imeamua kufadhili Mradi wa Paza Sauti+ kama sehemu ya mchango wake kwa jamii katika kupambana na ukatili.

Julius Magabe
“Tunajivunia kuwa sehemu ya mradi huu muhimu. Kama taasisi inayolinda maisha kupitia huduma za bima, tunaona ni wajibu wetu kuunga mkono juhudi zinazolinda ustawi wa jamii. Huu ni mchango wetu katika kupambana na ukatili wa kijinsia na ukatili dhidi ya watoto,” alisema Magabe.
Aidha, Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (OC-CID) Kahama, SP Maro Kenyunko, pamoja na Afisa Ustawi wa Jamii wa Manispaa hiyo, Abrahamani Kibakaya, walipongeza utekelezaji wa mradi huo wakisema unakuja wakati muafaka na utasaidia kuziba mapengo yaliyokuwepo katika ushughulikiaji wa kesi za ukatili wa kijinsia na dhidi ya watoto.
Washiriki wa mafunzo wanatoka katika sekta za afya, polisi, ustawi wa jamii na ngazi ya jamii, hatua inayolenga kuimarisha uratibu katika mnyororo mzima wa kushughulikia masuala ya ukatili, kuanzia utambuzi wa mapema hadi usimamizi wa kesi.

Wadau wamebainisha kuwa changamoto katika ukusanyaji na matumizi ya ushahidi wa kiforensiki zimekuwa zikikwamisha mafanikio ya kesi nyingi za ukatili. Kupitia Mradi wa Paza Sauti+, uwezo wa kitaalamu unaimarishwa huku jamii ikihamasishwa kutoa taarifa mapema.
Mradi wa Paza Sauti+ unalenga kuimarisha uwezo wa kiforensiki kwa uchunguzi unaotegemea ushahidi, kuhamasisha utoaji wa taarifa kuhusu matukio ya ukatili kwa wakati na kwa usahihi, kuongeza uelewa wa umuhimu wa ushahidi wa vinasaba (DNA) katika upatikanaji wa haki, na kuimarisha uratibu kati ya sekta ya afya, polisi na ustawi wa jamii.
Mradi huu unatekelezwa katika Hospitali ya Wilaya ya Kahama na Kituo cha Afya Nyasubi, ukihusisha kata za Nyasubi na Malunga, ukiendana na Mpango wa Kitaifa wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto.
Ufadhili wa Sanlam Allianz kwa Mradi wa Paza Sauti+, unaotekelezwa na THPS kwa kushirikiana na GCLA, unatajwa kuwa hatua muhimu katika kuimarisha mifumo ya haki na huduma kwa manusura, na kuleta matumaini mapya katika mapambano dhidi ya ukatili katika jamii.
Kaimu Mkurugenzi wa Manispaa ya Kahama, Stephen Magalla, akizungumza wakati wa ufunguzi wa mafunzo kwa watoa huduma za afya yaliyoandaliwa kupitia Mradi wa Paza Sauti+, kwa lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, mkoani Shinyanga.

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Kahama, Dkt. Baraka Msumi, akizungumza wakati wa mafunzo kwa watoa huduma za afya yaliyoandaliwa kupitia Mradi wa Paza Sauti+, yenye lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, mkoani Shinyanga.

Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Kahama, Dkt. Baraka Msumi, akizungumza wakati wa mafunzo kwa watoa huduma za afya yaliyoandaliwa kupitia Mradi wa Paza Sauti+, yenye lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, mkoani Shinyanga.

Mkuu wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (OC-CID) Kahama, SP Maro Kenyunko, akizungumza wakati wa mafunzo kwa watoa huduma za afya yaliyoandaliwa kupitia Mradi wa Paza Sauti+, yenye lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, mkoani Shinyanga.

Afisa Sheria kutoka Ofisi ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Mohamed Mdemu, akizungumza wakati wa mafunzo kwa watoa huduma za afya yaliyoandaliwa kupitia Mradi wa Paza Sauti+, yenye lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, mkoani Shinyanga.

Afisa Sheria kutoka Ofisi ya Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali (GCLA), Mohamed Mdemu, akizungumza wakati wa mafunzo kwa watoa huduma za afya yaliyoandaliwa kupitia Mradi wa Paza Sauti+, yenye lengo la kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, mkoani Shinyanga.

Mratibu wa Mradi wa Paza Sauti+ kutoka Shirika la Tanzania Health Promotion Support (THPS), Agnes Kirato, akielezea malengo na utekelezaji wa mradi huo unaolenga kuimarisha mapambano dhidi ya ukatili wa kijinsia (GBV) na ukatili dhidi ya watoto (VAC) katika Halmashauri ya Manispaa ya Kahama, mkoani Shinyanga.

No comments:
Post a Comment