Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko, akisaini kitabu cha wageni alipowasilikwemye viwanja vya maonyesho vya Mwalimu Nyerere vilivyopo Barabara ya Kilwa Dar es Salaam Julai 6, 2026.
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (kulia), akisalimiana na Dkt. Garvin Kweka (kushoto), wakati alipotembelea banda la Hospitali ya Taifa Muhimbili kwenye maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) Julai 6,2026.
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (katikati), akizungumza na mtumishi kutoka Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na dawa za kulevya (DCEA) (kushoto), wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) Julai 6,2026. Kulia ni Mkurugenzi wa Uchunguzi wa Bidhaa naMazingira, Dkt. Shimo Peter.
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (katikati), akipata maelezo kuhusiana na Teknolojia za ujenzi ambazo ni salama kimazingira kutoka kwa mtumishi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Jason Moses (kulia), katika maonesho ya Kimataifa yaBiashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) Julai 6,2026.
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (kulia), akipokea zawadi kutoka kwa mtumishi wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS), Neema Mtemvu (kushoto), wakati alipotembelea banda hilo katika maonesho ya Kimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) Julai 6,2026.
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (kushoto), akipata maelezo kuhusiana na Teknolojia mpya kwa ajili ya upimaji wa Ardhi kutoka kwa mtumishi wa Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi (kulia), katika maonesho ya Kimataifa yaBiashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) Julai 6,2026.
Mkemia Mkuu wa Serikali, Dkt. Fidelice Mafumiko (katikati), akiwa pamoja na watumishi wa Mamlaka ya Maabara ya Mkemia Mkuu wa Serikali wanaoshiriki maonesho yaKimataifa ya Biashara ya Dar es Salaam (Sabasaba) Julai 6,2026.








No comments:
Post a Comment