Mwanasheria Mkuu wa Serikali Mhe. Hamza S. Johari ameliongoza jopo la Wataalamu wa Sheria katika kuwasilisha majibu ya Serikali kuhusiana na Muswada huo.
Mwandishi Mkuu wa Sheria, Bw. Onorius Njole amezitaja Sheria zinazokusudiwa kufanyiwa marekebisho ni pamoja na
Sheria ya Uhifadhi wa Wanyamapori Sura ya 283, Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Wilaya) Sura ya 287, Sheria ya Utathimini na Usajili wa Wathamini, Sura ya 138, Sheria ya Serikali za Mitaa (Mamlaka za Miji) Sura ya 288, Sheria ya Mipango ya Matumizi ya Ardhi, Sura ya 116.o







No comments:
Post a Comment