DKT.YONAZI APOKEA UJUMBE KUTOKA ZANZIBAR - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Wednesday, November 25, 2026

DKT.YONAZI APOKEA UJUMBE KUTOKA ZANZIBAR


Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge, Uratibu na Wenye Ulemavu), Dkt. Jim Yonazi, leo tarehe 24 Novemba, 2026, amepokea ujumbe kutoka Serikali ya Mapinduzi Zanzibar ulioongozwa na Katibu Mkuu wa Tume ya Mipango Zanzibar, Dkt. Josephine R. Kimaro.


Katika mazungumzo yao, viongozi hao wamejadili namna ya kubadilishana uzoefu katika masuala ya Ufuatiliaji na Tathmini ya shughuli za Serikali, pamoja na kuimarisha ushirikiano baina ya Ofisi ya Waziri Mkuu na Tume ya Mipango Zanzibar hususan katika eneo la Ufuatiliaji na Tathmini.






No comments:

Post a Comment