MASHINDANO YA LADIES FIRST YAHITIMISHWA KIBAHA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, November 29, 2026

MASHINDANO YA LADIES FIRST YAHITIMISHWA KIBAHA

NA; MWANDISHI WETU KIBAHA -PWANI
Mashindano ya Riadha ya Wanawake Ladies First msimu wa nane  leo, Novemba 29, 2026, yamehitimishwa ikiwa ni siku ya pili katika Viwanja vya Shirika la Elimu Kibaha, mkoani Pwani.

Mashindano hayo yametoa fursa kwa wanariadha wanawake kuonesha vipaji na uwezo wao katika michezo ya riadha, huku yakilenga kukuza na kuendeleza vipaji vya wanawake katika mchezo huo nchini.



No comments:

Post a Comment