WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKIWASIKILIZA MAWAZIRI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Tuesday, November 7, 2017

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA AKIWASIKILIZA MAWAZIRI




Waziri MKuu, Kassim Majaliwa  akimsikiliza Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais TAMISEMI, Bw. Selemani Jaffo wakati wa Kikao cha Kwanza Mkutano wa tisa wa Bunge kilicho anza leo Novemba 7/2017 Mjini Dodoma (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)


 

Waziri MKuu, Kassim Majaliwa  akimsikiliza Waziri wa Afya Maendeleo ya Jamii Jinsia Wazee na Watoto, Umi Mwalimu, wakati wa Kikao cha Kwanza Mkutano wa tisa wa Bunge kilicho anza leo Novemba 7/2017 Mjini Dodoma  (PICHA NA OFISI YA WAZIRI MKUU)



No comments:

Post a Comment