Kwa wakazi wa Dar es Salaam huduma hii inakufikia popote ulipo kikubwa ni kuingia kwenye ukurasa wetu wa Instagram unaokwenda kwa jina la OG_FOOD _PRODUCTS au Whatsapp Business yetu ya nambari +255687495659
Bila kusahau huduma inakufikia mpaka mlangoni kwako kikubwa wasiliana nasi na uchague unataka huduma gani kazi iliyobaki tuachie sisi kumbuka tu Juice ni kwanzaia nusu Lita mpaka Lita kumu unaweza kupata na mengineyo mengi kabisa ndio maana tunasema KATA KIU YAKO NA OG_FOOD_PRODUCTS.
OG_FOOD_PRODUCTS
"First wealth is health"
Afya yako ndo utajiri wako🥰
Kwann ule vyakula visivyo na ubora? Kwa nini unywe vinywaji vyenye sumu?
Suluhisho la kiu yako limepatikana, kunywa juice zenye ladha tamu na viwango vya hali ya juu kutoka og_food_products, joto na jua halitukwamishi tena kuendelea na mapambano ya kila siku, huku glass ya juice, pale packet ya karanga, unaburudika na kupata vibe kama loteeeee😁
No comments:
Post a Comment