RAIS SAMIA AITISHA KIKAO CHA DHARURA KUJADILI TATIZO LA KUPANDA KWA BEI YA MAFUTA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Monday, May 9, 2022

RAIS SAMIA AITISHA KIKAO CHA DHARURA KUJADILI TATIZO LA KUPANDA KWA BEI YA MAFUTA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, Mei 8, 2022 ameitisha Kikao cha dharura usiku  Ikulu ya Dar es Salaam kujadili tatizo la kupanda kwa bei ya mafuta nchini.

Miongoni mwa waliohudhuria kikao hicho ni Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Waziri wa Nishati January Makamba, Waziri wa Fedha Mwigulu Nchemba, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato ya Tanzania (TRA) Alphayo Kidata na makatibu wakuu wao.

Katika kikao hicho, Rais Samia amewaagiza viongozi hao kutafuta suluhisho la haraka katika kukabiliana na tatizo hilo la Upandaji wa bei ya Mafuta nchini.


No comments:

Post a Comment