MATUKIO KATIKA PICHA:DKT. YONAZI ATEMBELEA KITUO CHA OPERESHENI NA MAWASILIANO YA DHARURA DODOMA - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Friday, May 26, 2023

MATUKIO KATIKA PICHA:DKT. YONAZI ATEMBELEA KITUO CHA OPERESHENI NA MAWASILIANO YA DHARURA DODOMA


KATIBU MKUU OFISI YA WAZIRI MKUU( SERA, BUNGE NA URATIBU) DKT. JIM YONAZI AMETEMBELEA NA KUKAGUA KITUO CHA OPERESHENI NA MAWASILIANO YA DHARURA (EOCC) KILICHO CHINI YA IDARA YA MENEJIMENTI YA MAAFA KATIKA OFISI YAKE JIJINI DODOMA TAREHE 26 MEI, 2023.


No comments:

Post a Comment