Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe Ummy Nderiananga alipotembelea katika Banda la Ofisi yake wakati wa maonesho ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi Kimataifa - Nane Nane katika viwanja vya John Mwakangale Jijini Mbeya tarehe 7 Agosti, 2023.
Kauli mbiu ya maonesho hayo ni “Vijana na Wanawake ni Msingi Imara wa mifumo Endelevu ya Chakula”
No comments:
Post a Comment