Matukio katika picha wakati wa Kilele cha Mbio za Mwenge wa Uhuru 2023 katika Viwanja vya Tanzanite Kwaraa Wilaya ya Babati Mkoani Manyara tarehe 14 Oktoba, 2023.
Kauli Mbiu ni; "Tunza Mazingira, Okoa Vyanzo vya Maji kwa Ustawi wa Viumbe Hai na Uchumi wa Taifa"
(PICHA ZOTE NA OFISI YA WAZIRI MKUU)
No comments:
Post a Comment