WAZIRI MKUU MGENI RASMI SIKU YA MKUNGA DUNIANI - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Sunday, May 5, 2024

WAZIRI MKUU MGENI RASMI SIKU YA MKUNGA DUNIANI


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Mei 05, 2024 atazungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Mkunga Duniani inayofanyika kitaifa mkoani Dar es Salaam kwenye Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere.

Kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni Wakunga:Suluhisho la Mabadiliko ya Tabia ya Nchi.




No comments:

Post a Comment