Dkt. Yonazi akutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka IFAD - OKULY BLOG

Breaking

Music

Header ADS

Thursday, September 12, 2024

Dkt. Yonazi akutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka IFAD



Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu ( Sera, Bunge na Uratibu) Dkt. Jim Yonazi amekutana na kufanya mazungumzo na Ujumbe kutoka Mfuko wa Kimataifa wa Maendeleo ya Kilimo - IFAD wanaosimamia Programu ya Kuendeleza Sekta ya Kilimo na Uvuvi (AFDP) katika ukumbi wa Ofisi hiyo leo 12 Septemba, 2024 Jijini Dodoma.



No comments:

Post a Comment